News | Nuh Mziwanda ameitwa na jeshi la polisi


Msanii wa muziki nchini Nuh Mziwanda ameitwa na jeshi la polisi katika kituo cha  Oysterbay . Taarifa hiyo ameitoa msanii huo kwenye ukurasa wake wa instagram bila kutoa sababu iliyofanya aitwel


Aidha, Nuh ameeleza kuwa anaheshimu wito huo na atafika kituoni hapo.

Post a Comment

0 Comments